IKULU Yakanusha taarifa FEKI Inayosambazwa Mitandaoni kuhusu Rais Magufuli


Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa ametahadharisha umma kuhusu habari hii bandia inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.

Msigwa ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa taarifa hiyo si ya Ikulu na kuwa imetengenezwa na wahalifu wa mitandao hivyo kwa kuwataka wananchi kuipuuza.

Hii ndo Taarifa ya uongo inayosambazwa
 
Taarifa hii sio ya Ikulu. Imetengenezwa na wahalifu wa mtandao. IPUUZWE!!!!
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment