Leo Feburuary 17 2016 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye
amefanya ziara ya kushtukiza kwenye Maduka ya CD Kariakoo Dar es salaam
kuangalia wanaosambaza kazi feki za Wasanii ambapo baada ya kukagua
ameongea na AyoTV kueleza kila kitu kwenye video ambayo iko chini ya hizi picha. Hii video hapa chini inayo maelezo yote aliyoyasema Nape Nnauye kuhusu ziara yake ya kushtukiza leo Kariakoo
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment