Mwanzilishi wa Saccos cha
Wanawake Wajasiriamali Tanzania (TASWE) Dkt. Anna Matindi akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Vijana kutoka Vyuo
Vikuu vya ndani na nje ya nchi,leo Jijini Dar es Salaam. Kushotoni
Katibu wa Chama cha Vijana Wajasiriamali – Taswe Bi. Adelaida Ngowi.
Mkutano huo unatarijiwa kufanyika tarehe 24 Machi, 2017 katika ukumbi wa
Kardinali Rugambwa Osterbey huku kauli mbiu yake ikiwani “Badilisha
Mtazamo wa Vijana wajielekeze katika Sekta Binafsi” .
Mwanzilishi wa Chama cha Kuweka na
Kukopa cha Wanawake Wajasiriamali Tanzania (TASWE) Dkt. Anna Matindi
akizungumza na waandishi wa habari kuhusukuhusu Mkutano wa Kimataifa wa
Vijana kutoka Vyuo Vikuu vya ndani na nje ya nchi,leoJijini Dar es
Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu wa Chama cha VijanaWajasiriamali –
Taswe Bi. Adelaida Ngowi, Mwanachama wa Taswe Bi. Grace Kimaro. Mkutano
huo unatarijiwa kufanyika tarehe 24 Machi, 2017 katika ukumbi wa
Kardinali Rugambwa Osterbey huku kauli mbiu yake ikiwa ni “Badilisha
Mtazamo wa Vijana wajielekezekatika Sekta Binafsi” .
Mwanachama wa Chama cha Kuweka na
Kukopa cha Wanawake Wajasiriamali Tanzania (TASWE) Bibi. Leah Paul
Dennis akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habar ikuhusu Mkutano wa
Kimataifa wa Vijana kutoka Vyuo Vikuu vya ndani na nje ya nchi,leo
Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu wa Chama cha
VijanaWajasiriamali – Taswe Bi. Adelaida Ngowi,Mwanzilishiwa Chama hicho
Bibi.Anna Matinde na Bi. Grace Kimaro. Mkutano huo unatarijiwa
kufanyika tarehe 24 Machi, 2017 katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa
Osterbey huku kauli mbiu yake ikiwani “Badilisha Mtazamo wa Vijana
wajielekezekatikaSektaBinafsi”
Pichana: Frank Shija – MAELEZO.
Na: Frank Shija – MAELEZO
VIJANA zaidiya 1000
kutokaVyuoVikuumbalimbalivyandaninanjeyanchikukutanishwajijini Dar
esSalaam katikaMkutanowaKimataifautakaofanyikatarehe 24
Machi2017katikaukumbiwaKardinaliRugambwa, OsterbayJijini Dar es Salaam.
HayoyamebainishwanaMwanzilishiwa
Chama cha KuwekanaKukopa cha WajasiriamaliWanawake Tanzania (TASWE) Anna
Matindewakatiakizungumzanawaandishiwahabarikuhusumkutanohuoleojijini
Dar es Salaam.
Bibi. Matindeamesemakuwa TASWE
kwakushirikinanaKikundi cha Kwayaya Remnant Generation
wameandaaMkutanomaalumkwaajiliyavijanawaVyuoVikuukwaleongo la
kuwajengeauywezonakuwabadilishafikrailiwatambuefursazilizopokatikaSektabinafsi.
“Tarehe 24
mweziMachikutakuwanaMkutanomkubwawaKimataifaambapovijanakutokaVyuoVikuumbalimbaliwatashirikinakujengewauwezo”.
AlisemaMatinde.
Kwa upandewake
KatibuwaVijanaWajasiriamalikutoka TASWE amaesemakuwalengokubwa la
mkutanohuonikuwakutanishavijananakuwapaelimuitakayowabadilishamitazamoyenyelengo
la
kuwafanyawafikiriekujikitakatikaSektabinafsibadalayakutegemeakuajiriwapindiwatakapomalizamasomoyaoyaelimuzajuu.
Aliongezasambambanakubadilishamitazamoyaomkutanohuoutasaidiakuwaondoleamsongowamawazoutokanaonaukosefuwaajirapamojanaukwelikwambawahitimuwamekuwawakiongezekasikuhadisikuhukuajirazikikuakwakasindogo.
“TakribaniVijana 1200
kutokaVyuoVikuumbalimbalindaninanjeyanchiwanatarajiakukutanaikiwalengokubwanikuwasaidiavijanahaonakutambuakuwaujasiriamalinisehemuyaajira”,
alisisitiza Bi. Adelaida.
MkutanohuowaKimataifawaVijanaunaandaliwakwaushirikianobainayaChama
cha KuwekanaKukopa cha WajasiriamaliWanawake Tanzania (TASWE)naKikundi
cha Wanakwaya cha Remnant Generation
kinachojaliwahitajikwakusaidiamahitajiya. Kaulimbiuyamkutanohuoni
“BadilishaMtazamowaVijanawajielekezekatikaSektaBinafsi”.


0 comments :
Post a Comment