Mshambuliaji wa Simba mwenyewe thamani ya Milioni 100 kutoka Ivory Coast Fredirick Blagnon amerejea tena Simba SC Kwa sababu ya ITC yake kuwa na matatizo na kushidwa kukamilisha uhamisho wa mkopo kujiunga na Oman Club ya Oman.
Blagnon alitolewa Kwa Mkopo na Simba Kwa mwezi wa Kwanza ila kutokana na ITC yake kuwa na Matatizo na kushidwa kuituma kwa wakati Club ya OMAN imeamua kusitisha Mkopo Huo. .
Leo Asubuhi mratibu wa Simba SC Abbas Ally Amekili kumpokea Blagnon Jana usiku na leo ameanza safari ya kwenda Arusha kuungana na timu ambayo Leo nayo inaelekea Arusha kutoka Dodoma Kwa mchezo wa robo fainali wa ASFC dhidi ya Madini Fc utakaochezwa Jumapili Hii Marchi 19.
0 comments :
Post a Comment