BREAKING: IKULU yasahihisha taarifa za uteuzi wa Mama Salma Kikwete




Dakika kadhaa zilizopita imetoka taarifa kuhusu Rais Magufuli kumteua Mama Salma Kikwete kuwa Mbunge ambapo kwenye taarifa ya kwanza ilisema ameteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum, taarifa yenye marekebisho imesema ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio Viti Maalum.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment