Mshambuliji wa Tanzania Mbwana Samatta ameonysha kiwango cha hali ya juu katika mchezo wa kwanza wa raundi ya 16 kwa kuifungia klabu yake ya KRC GENK goli 2 katika ushindi wa goli 5-2 iliyoupata ugenini.
Samatta ambae amfunga goli hizo huku ziki mfanya aweke rekodi ambayo hauwahikufanya hivyo kwani ndio goli zake za kwanza kwenye mashindano ya Europa league.
Haya hapa matokeo.
Samatta ambae amfunga goli hizo huku ziki mfanya aweke rekodi ambayo hauwahikufanya hivyo kwani ndio goli zake za kwanza kwenye mashindano ya Europa league.
Haya hapa matokeo.
0 comments :
Post a Comment