Jeshi la Polisi DSM limewataja watuhumiwa wa vurugu zilizotokea katika mkutano wa Chama cha Wanachi CUF uliofanyika Vinna Hotel April 22, 2017 ambapo waandishi wa habari kadhaa walijeruhiwa.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Simon Sirro amesema kuwa Jeshi hilo limewakamata watu saba katika tukio hilo na tayari Jalada limepelekwa kwa Wakili wa serikali kwa ajili ya kulisoma na kuandaa mashtaka ili wafikishwe Mahakamani.
Bonyeza play kutazama…
VIDEO: Msimamo wa Jukwaa la Wahariri kwa CUF baada ya kushambuliwa wanahabari. Bonyeza play kutazama…
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment