Askari Amfyatulia Naibu Waziri Mstaafu Risasi Hewani



Kwenye mitandao ya kijamii Tanzania kumesambaa video ikionyesha Askari Polisi akijibizana kwa maneno na Naibu waziri wa zamani wa fedha Adam Malima na baadae kufyatua risasi hewani.
Inadaiwa chanzo cha mvutano huo ni gari la Adam Malima kupaki vibaya ambapo kwenye kuambiwa litolewe ndio majibizano yakaanzia hapo.
Gumzo limeendelea kwenye mitandao ya kijamii kutokana na risasi kufyatuliwa hewani na Askari huyo ambapo Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amehoji >>> ”Hii ni nini? Askari wanafundishwa kufanya hivi? Waziri Nchemba huyu yupo wazi na ni wa kutoka kwako, unahitaji uchunguzi?’
Bado millardayo.com na AyoTV zinaendelea kufatilia tukio hili ili kupata ya pande zote na leo leo usiku nitakujuza nilichokipata

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment