Breaking News:Mbunge wa Zamani wa Nyamagana Ezekiel Wenje Apata Ajali ya Gari


Gari lililokuwa likiendeshwa na aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje limepata ajali maeneo ya Magereza Bariadi mkoani Simiyu mchana wa leo baada ya kuacha njia na kugonga mtaro na kisha kuanguka. Ndani ya gari hilo alikuwepo pia Mbunge wa VIti Maalumu (Chadema), Gimbi Masaba na Mwandishi wa habati wa Tanzania Daima, Sitta Tuma ambao wamepata michubuko kidogo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment