
May 18, 2017 Wabunge walikuwa wakichangia Mapendekezo yao katika Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na kati ya waliopata nafasi hiyo alikuwa Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ambaye alitoa ushauri kwa Serikali namna bora ya kutimiza malengo ya serikali ya viwanda nchini.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.


0 comments :
Post a Comment