Waandishi Wa Habari Wakamatwa Wakitekeleza Majukumu Yao Arusha




Habari zilizotufikia hivi punde kutoka mkoani Arusha ni kwamba waandishi wa habari 9 wamekamatwa na polisi wakati wakitekeleza majukumu yao. Inaelezwa kuwa waandishi wamekamatwa na jeshi la polisi Arusha kwa madai ya kuhudhuria kikao ambacho hakikuwa na kibali katika shule ya Lucky Vincent ambapo shirikisho la wamiliki wa shule binafsi walikuwa wanaenda kutoa rambirambi lakini baada ya kupata taarifa walienda kufanya kazi ndipo wakaambulia kukamatwa na polisi

1 .Godfrey Thomas -ayo tv

2.King Alphonce Saul Kusaga

3.Filbert Emmanuel- Mwananchi

4.Hussein -Tuta Itv

5.Joseph Ngilisho-Sunrise radio

6.Geofrey Stephen- Radio 5

7.Janeth Mushi -Mtanzania

8.Zephania Ubwani- The Citizen

9.Elihuruma Yohani- Tanzania Daima

10.Idd Uwesu -Azam Tv
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment