Shirikisho la Masumbwi la IBF limesema kwamba ushindi wa bondia Ryan Burnett dhidi
ya Lee Hanskin Ulitolewa kimakosa.
Siku ya Jumamosi Burnet alipewa ushindi na majaji wawili kimakosa huku jaji mmoja akipinga
ushindi huo.
IBF imesema kuwa Maamuzi ya Majaji hao wawili yalikuwa hayampi ushindi bondia yoyote
kutokana na uwiano sawa wa alama.

0 comments :
Post a Comment