Taasisi ya Kupambana na Kuzuia na Rushwa ‘TAKUKURU’ imewafikisha mahakamani watuhumiwa wawili wa kesi za ESCROW na IPTL James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashtaka yanayowakabili ambapo wamesomewa mashtaka sita likiwemo la uhujumu uchumi.
Mahakama ya Kisutu imesema upelelezi bado unaendelea na haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa watuhumiwa hivyo wamerudishwa rumande
, Bonyeza play hapa chini kutazama
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment