Emmanuel Okwi akisaini mkataba rasmi kuichezea klabu ya Simba.
Emanuel Okwi amesaini mkataba wa miaka miwili (2) kujiunga na Simba kuanzia msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara pamoja na mashindano mengine ikiwa ni pamoja na michuano ya Afrika (Caf Confederatio Cup).
“Nawashukuru viongozi na mashabiki wa Simba, Eid njema… sitakua na mengi, naomba tu nitoe zawadi ndogo au kubwa,niwapatie Okwi’ – maneno ya moodewji,angalia video hapa chini
Video Player
00:00
00:27Faceb