CHADEMA yafunguka sababu za viongozi wanaorubuniwa



Katibu  wa  Chadema Arusha, Amani  Golugwa, amedai wanao ushahidi wa viongozi wa chama hicho wanaorubuniwa kwa rushwa na viongozi wa CCM kwani ni wengi wamekataa ofa hiyo.


Golungwa amesema kuwa kinachofanyika  sasa sio  siasa,  bali  rushwa  za   wazi  wazi,   hatua  aliyodai  kuwa haina  tija  kwa  wananchi   wala  kwa  taifa.

"Kama  kisingizio  ni   kumuunga  rais  mkono, unaweza  kufanya  hivyo  bila  kuhama  chama, hili  tunalizungumza  bila   kumung’unyamaneno,   kwamba  hawa  viongozi  wetu  wanaohama  wanashawishiwa  na pesa   na  ni  wengi  wamepewa,  wakakataa   na  ushahidi tunao,"amesema   Golugwa .
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment