Hatimaye Lionel Messi na mpenzi wake wa tangu utotoni, Antonella Rocuzzo wamefunga pingu za maisha katika harusi iliyofana na kuhudhuriwa na magwiji wa Barcelona kiasi cha kubandikwa jina la ‘ Harusi ya karne’ nchini Argentina.
Sherehe za harusi hio zilifanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudhuriwa na wageni zaidi ya 250 katika hoteli ya kifahari mjini Rosario.
Messi, 30, na Rocuzzo wamekuwa pamoja tangu wakiwa na umri wa miaka mitano,
wamefanikiwa kupata watoto wawili.
wamefanikiwa kupata watoto wawili.
0 comments :
Post a Comment