Sportpesa kuwapa shavu simba na yanga

Hivi karibuni kumesikika Uvumi kuwa Sportpesa wanataka kuzipeleka Klabu za Simba, Yanga na Singida United nchini Uingereza kujiandaa na Msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara.
Mkurugenzi  wa sportpesa Abbas Tarimba amekiri  kuwepo kwa mpango huo na kuongozea kuwa klabu hizo zitakwenda nchi mbalimbali za Ulaya.Mkurugenzi huyo aliyesema hayo wakati wa mahojiano tulipokutana nae kwenye ibada ya mwisho ya kuaga mwili wa marehemu mke wa Waziri Mwakyembe, Linah Mwakyembe aliyefariki wiki iliyopita.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment