Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) lasema wataendelea na mpango wao wa kumuombea dua Tundu Lissu hapo kesho.
Wadai zuio la Kamanda Mambosasa haliwahusu kwa sababu wao hawafanyi maandamano kama alivyoeleza yeye.
Habari,Matukio,Picha ulimwenguni kote.



0 comments :
Post a Comment