Mh Lissu ametokea hadharani kwa mara ya kwanza tangu ashambuliwe kwa risasi na mashenzi ya dunia… Sisi kama wadau wa amani na na mageuzi nchini tunawajibu wa kumpongeza Mungu kwa hatua hii… Lissu ni mmoja watanzania pekee ambao ni alama ya taifa…ujumbe alioandika lissu usome hapo chini
Amani ya wote na idumu daima… Kwa uwezo wa maanini Mh Lissu amepona…anawasalimia watanzania wote. Anasema asanteni sana, muenelee
0 comments :
Post a Comment