Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi Taifa wa Chama Cha ACT Wazalendo, Samson Mwigamba ametangaza kujiunga na CCM.
Adai Kwa sasa ufisadi unahama CCM kwenda upinzani na sisi tuliokuwa tunaupinga ufisadi tunahamia ulikotoka.Amesema Mwigamba.Habari kamili inafuata hivi pundeFacebook