BREAKING NEWS:Lipumba Apatwa Na Mshituko Awaishwa Hospitali





#BREAKING_NEWS:

Prof.Ibrahim Lipumba wa CUF amepata mshituko wa moyo ghafla asubuhi hii na anapelekwa Aghakhan Hospital Jijini Dar Es Salaam. Madaktari wanasema hali yake sio nzuri wanaweza kumtuma Muhimbili.

Tz News blog UPDATES
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment