Makubwa Yagundulika!!! Binti Wa Darasa La Tatu Akutwa Mjamzito



Mwanafunzi wa darasa la tatu katika kijiji cha Amani makolo wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma amegundulika kuwa na ujauzito wa miezi minne.

Binti huyo aliyefahamika kwa jina la Sabina Simon Nombo amepata ujauzito huo baada ya kubakwa  njiani alipokuwa akirudi nyumbani kwao akitokea kanisani.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment