Mkurugenzi Mkuu Wa Shirika La Nyumba Asimamishwa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi amemsimamisha  kazi Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba  NHC Bw. Nehemia Mchechu kupisha uchunguzi.

Katika taarifa iliyotolewa na katibu mkuu wa wizara ya ardhi Doroth Mwanyika imebainisha kumsimamisha Mchechu  kwa mamlaka aliyopewa waziri Lukuvi kupitia kifungu f. 35 cha kanuni za utumishi wa umma za mwaka 2009.

Waziri Lukuvi pia  ametoa agizo kwa bodi ya Shirika hilo kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa huduma za mikoa na Utawala Raymond Mndolwa ili kupisha  uchunguizi wa tuhuma zinazowakabili watendaji hao.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment