Mwenyekiti Uvccm - Iringa Awaasa wanaccm Kutoona Aibu Kuvaa Sare Za Ccm




Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Iringa Kenani kihongosi, ametoa wito kwa Vijana wasomi wa (CCM) kutoona aibu kuvaa sare ama mavazi yenye rangi za kijani na njano kwani chama chao ndicho kilichounda serikali  iliyopo na ilani inayotekelezwa ni ya chama cha mapinduzi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment