Miezi michache iliyopita kuna vichwa vya treni vilionekani bandari ya Dar es salaam vyenye nembo ya Shirika la leri nchini (TRL) ambavyo taarifa ilisema vichwa hivyo havina mwenyewe.
Waziri wa Uchukuzi Prf. Makame Mbarawa amesema Serikali imeamua kuvinunua vichwa hivyo kwa bei ya chini kutoka dola 3.8 milioni hadi 2.4 milioni.
Waziri Mbarawa amesema serikali imefikia makubaliano na mmiliki kuvinunua Vichwa hivyo 11 ambapo kila kichwa ni Dola Milioni 2.4
0 comments :
Post a Comment