YANGA YAONESHA JEURI YA PESA

Mabingwa watetezi  wa Ligi Kuu ya soka ya Tanzania Bara, Yanga SC wameanza matengenezo ya uwanja wao  wa kaunda  uliopo eneo la Jangwani Jijini Dar es Salaam.

Mabigwa hao watetezi wa kupitia ukurasa wao wa  Instagram wameweka video ikionyesha ukarabati ukiendelea katika uwanja huo.

Video hiyo inaonyesha ikisawazisha vifusi vilivyokuwa vimemwagwa uwajani hapo kwa siku kadhaa zilizopita.

Yanga imepanga kuukarabati uwanja huo wa kaunda  na kuujenga uwanja huo pamoja na kujenga hosteli za kisasa za wachezaji.

Uwanja huo Kaunda maarufu (Jangwani) umekuwa ukiathiriwa mara kwa mara na mvua zinazonyeesha na kuusababishia kujaa maji.

Share on Google Plus

About mtilah

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment