Msukuma Amponda Mbunge Wa Iringa Mjini


Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma baada ya kumaliza kampeni za kumnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Songea Mjini Dr. Damas Ndumbaro, January 13, 2018 alipita mkoani Iringa ambapo aliungana na Mbunge Viti Maalumu Iringa Ritha Kabati na kukabidhi msaada kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.
Moja kitu Musukuma alichokiongea mkoani Iringa ni kuhusu muonekanao na hali za wakazi wa Iringa akifananisha na watu katika Jimbo lake la Geita Vijijini.
Musukuma amesema “Nimeiona Manispaa ya Iringa, nilidhani ni kama ulaya kumbe ni kama Geita, nashangaa hata Halmashauri yenyewe imechoka, nikamkumbuka sana Msigwa, haya mambo uliyoyafanya yalitakiwa yafanywe na Msigwa,”– Musukuma
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment