Yanga Yarudi Vichwa Chini Baada Yakutolewa Mapinduzi Cup

BAADA ya jana Klabu ya Yanga kuondoshwa kwenye Michuano ya Mapinduzi Cup na Klabu ya URA ya Uganda katika nusu fainali ya kwanza, wachezaji na viongozi wa klabu hiyo wamewasili Dar es Salaam leo kutoka Mjinni Unguja visiwani Zanzibar  huku wakiwa na sura za huzuni.
 Yanga abayo jana ilicheza chezo wa Nusu Fainali na URA huku ikiondolewa kwa njia ya mikwaju ya penati 5-4, baada ya nyota wao raia wa Zambia, Obrey Chirwa kukosa penati ya mwisho na kuwafanya waungane na wapinzani wao Simba SC, ambao nao waliondolewa juzi Jumatatu na Azam FC, baada ya kuchapwa bao 1-^0
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment