-
Wakimbizi hao wanasema mapigano ni makali mno kiasi cha familia nyingi kutawanyika na baadhi ya Watoto wamekimbia bila Wazazi wao.
Shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia wakimbizi (UNHCR) limeanzisha misafara ya kuwapeleka wakimbizi hao kwenye kambi katika Mikoa isiyopakana na Kongo.


0 comments :
Post a Comment