Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimesaini hati ya kushirikiana katika mambo matano na Watanzania wanaoishi Washington Siato ikiwemo kupeana taarifa, Fursa za biashara, kuhamasisha Watanzania waishio nje ya nchi katika uwekezaji na mambo mengine.
Katibu wa CHADEMA kanda ya kaskazini Amani Golugwa mbele ya waandishi wa habari akiwa Pascal Kijuji wakati wakusaini makubaliano hayo ameelezea mambo hayo na jinsi yatakavyoleta maendeleo.

0 comments :
Post a Comment