Rais Mstaafu wa Ufaransa ashikiliwa na polisi kwa sababu hizi




Kutoka nchini Ufaransa leo March 20, 2018 ni Rais Mstaafu wa nchi hiyo Nicolas Sarcozy anashikiliwa na polisi ili waweze kumfanyia mahojiano.
Inaelezwa kuwa Rais huyo Mstaafu anakabiliwa na tuhuma za makosa ambayo yaliyojitokeza katika fedha za kuendesha kampeni ya Uchaguzi Mkuu kipindi akigombea mwaka 2007.
Tuhuma hizo zinahusishwa na nyingine za kupokea pesa kutoka kwa aliyekuwa Rais wa Libya Muammar Gaddafi katika kipindi cha uchaguzi huo ili kufanikisha ushindi wake. Sarcozy amekataa kuhusika na tuhuma hizo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment