‘Tumefika Polisi tumeambiwa Nondo hayupo’-Mkurugenzi Idara ya sheria TSNP


Mkurugenzi wa Idara ya Sheria Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Paul Kisabo amezungumza na tznews14.blogspot.com kuhusu kufungua maombi katika Mahakama Kuu ya kutaka jeshi la Polisi limpeleke Abdul Nondo Mahakamani ambapo amegusia wao kwenda Polisi na kuambiwa Nondo hayupo.
“Tulienda Polisi Makao makuu kuuliza kama Nondo yupo pale kama yupo tumuombee dhamana au wamlete Mahakamani, tumeuliza mapokezi Polisi wametuambia Nondo hayupo, sisi hatujaonana nae” -Paul Kisabo

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment