BREAKING NEWS: Mkuu wa Mkoa wa Mara afariki dunia


Taarifa zilizotufikia hivi punde katika chumba chetu cha habari inaelezwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara John Gabriel Tupa, amefariki dunia mda huu katika hospitali ya Tarime.
Habari zinasema kuwa umauti huo umemfika baada ya Presha kupanda ghafla akitoka Musoma kuelekea Tarime kufunga Mafunzo ya Mgambo, ambapo alipelekwa haraka katika hospital ya Tarime.

Katibu wa Mkoa Bw. Benedictor, amesema kuwa wakati alipokuwa akiwasiliana na Dokta wa hospital hiyo kila muda, aliambiwa hali ya mgonjwa inaendelea kuimarika na baada ya muda taarifa zilizokuja zilikuwa za kifo.
Mpaka sasa mwili wa marehemu unachukuliwa kurudishwa Mkoa wa Mara ambapo alipokuwa anaishi.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen!
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment