Kweli
ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,hapa bongoland na sehemu nyingi
duniani kwa ujumla maharusi mara nyingihujipangia mavazi yao kwa ajili
ya siku ya harusi yao huku wakitumia gharamanyingi kununulia nguo hizo
kama mashela ya gharama na suti za maana na kali.Lakini huko New zealand
hayo yote hayaitajiki kwan maharusi hufunga ndoa wakiwa watupu
kabisa!!Hawa wanajiita Lowes’ Unclad wedding wakidai wanaonesha uhalisia
katika nyanja hiyo.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment