Kupitia
website yetu ya udaku ya Boss Ngasa tulipata mtonyo kutoka kwa rafiki
wa karibu wa snura kuhusu swala la msanii huyu kushiriki ktk swala la
ndumba,
Kutokana
na taarifa hizo mtandao huu ilifanya uchunguzi wa kina kwa kumfwatilia
Msanii huyu, ambapo siku ya leo mtego wetu ulinasa kwenye 18 baada
Msanii huyo kutinga kwa mganga kwa swaga ambazo hata mtu wake wa karibu
ilikuwa vigumu kumtambua, Ila kwa juhudi za matandao huu mpana
ulimfumania live snu sex akiwa amebebea Jogoo jekundu akiwasili kwa
sangoma na kufanyiwa ndumba. Credit: Boss Ngassa


0 comments :
Post a Comment