MATOKEO RASMI YA UBUNGE JIMBO LA KALENGA HAYA HAPA.

Ni Dhahiri kwa matokeo haya Chadema bado wana
nafasi kubwa ya kufanya vizuri ,Endapo daftari la wapiga kura litafanyiwa maboresho kutokana na ukweli kwamba waliopiga kura ni 29,541.kati ya 71,964 na pia kuna wengi ambao hawakupiga kura kwa kukosa kadi kutokana na umri waliokua nao wakati wauandikishaji .
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment