KATIBU Mkuu wa CUF na makamu wa kwanza wa rais
Zanzibar Mhe: Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasalimia wananchi mbali mbali na
wafuasi wa vyama vya CUF, DP, NCCR- MAGEUZI, kwenye mkuatano
maalum wa ushirikiano, uliofanyika uwanja wa Gombani kongwe Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
maalum wa ushirikiano, uliofanyika uwanja wa Gombani kongwe Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
WAANDISHI wa habari wa vyombo mbali mbali,
wakiwa kazini kwenye mkutano uliohusisha wafuasi wa vyama vya CUF, NCCR-MAGEUZI,
na DP ambao umefanyika kwa vyama hivyo kuunga nguvu ya pamoja ilionzia kwenye
bunge la katiba (picha na Haji Nassor,
Pemba)
Katibu Mkuu wa chama cha siasa cha CHADEMA
taifa Willbroad Slaa, akiwa pia ni mwenyekiti mwenza wa Umoja wa katiba ya
wananchi UKAWA akizungumza na wananchi na wafuasi wa vyama kadhaa vya siasa,
kwenye uwanja wa Gombani kongwe Pemba (picha
na Haji Nassor, Pemba)
WAJUMBE waliokuwa wa bunge maalum la katiba
ambao waliotoka nje ya bunge hivi karibuni, wakiwasalimia wananchi wa Pemba,
kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, mkutano huo ulifanyika uwanja wa Gombani
kongwe Pemba (picha na Haji Nassor,
Pemba)
WAFUASI wa vyama vya CUF, CHADEMA na DP
wakinyoosha mikono yao juu kuashiria kuunga mkono kwa vyama hivyo kusimamisha
mgombea mmoja kwenye uchaguzi mkuu ujao, hayo yajiri kwenye mkutano wa pamoja
wa vyama hivyo uliofanyika uwanja wa Gombani kongwe Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
MWENYEKITI mwenza wa umoja wa katiba
ya wananchi UKAWA, Christopher Mtikila, akizungumza na wananchi na wafuasi wa
vyama vya DP, NCCR-MAGEUZI, na CUF mkutano huo maalum uliofany
0 comments :
Post a Comment