Rais aahirisha kulihutubia Taifa leo.

  • 20 Disemba 2014
Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete
Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameahirisha
kulihutubia taifa la nchi hiyo kama ilivyokuwa imetarajiwa .
Kwa muujibu wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais badala yake Rais Kikwete atalihutubia taifa kupitia Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam, mchana wa Jumatatu, Desemba 22, 2014.
Taarifa hiyo fupi inasema wakati wa mazungumzo yake na Wazee hao, Rais Kikwete atazungumzia masuala mbali mbali ya kitaifa, yakiwemo yale ambayo yamekuwa yanasubiri maamuzi yake tokea alipokuwa anajiuguza kufuatia upasuaji aliofanyiwa mwezi uliopita .
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment