Pata maazimio ya Kamati Kuu CHADEMA

Written by  //  20/12/2014  
kas_27255-1609-2-30_90 Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Willibroad Slaa
TAARIFA YA MAAZIMIO YA CHADEMA KWA
VYOMBO VYA HABARI
JANA.

Baadhi ya maazimio ya CHADEMA kuhusu uchaguzi
serikali za mitaa
kama yalivyosomwa na Dr. Slaa
alipozungumza na
waandishi wa Habari.
¤ Suala la kupita bila kupingwa ni kinyume na
Demokrasia na haki
ya msingi ya raia ya kuchagua, hivyo utamaduni
huu ufe nakama
ikitokea basi zipigwe KURA za NDIO na HAPANA.
¤ Viongozi wa CHADEMA waliochaguliwa ikigokea
wanatuhumiwa
kwa vitendo vya rushwa kamwe chama
hakitawavumilia viongozi
hao na tutawachukulia hatua maramoja bila kusita
ikiwemo za ndani
ya chama na hata kuwashtaki mahakamani.
¤ Kamati kuu imezitaka mamlaka zinazohusika
kuwatambua
mabalozi wa CHADEMA katika masuala yote
ambayo yanahitaji wa
ngazi hiyo, ikiwemo utambulisho wa ukazi.
Wanachama wa
CHADEMA hawalazimiki kwenda kupata idhini ya
mabalozi
wanaotokana na CCM kama ambavyo serikali
inataka.
KUHUSU MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015.
Kamati Kuu ya Chama imepokea kwa masikitiko
taarifa
zinazoonesha kuwa hadi sasa serikali kupitia Tume
ya Taifa ya
Uchaguzi haionekani kujipanga kuweza kufanikisha
uchaguzi mkuu
ujao.
Tayari kasoro nyingi ambazo kama hazitafanyiwa
kazi zitasababisha
vurugu huko tuendako zimeanza kuonekana kwenye
zoezi la
majaribio ya uandikishaji wapiga kura linaloendelea
hadi sasa
Kawe,Kilombero, na Mlele.
Akizungumzia vurugu na vifo na kasoro
zilizojitokeza katika
uchaguzi huo, Dr. Slaa amewalaumu Waziri mkuu
Mh. Pinda na
Waziri wa TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia kuwa ndio
chanzo cha
matukio yote katika uchaguzi huo. Hasa kwa
kutunga kwao kanuni
mbovu na miongozo katika sheria ya uchaguzi
Serikali za mitaa
kanuni ambazo zimepelekea mauji katika baadhi ya
maeneo nchoni
hasa kule Nzega kutokea. Hivyo wote hawa
wanapaswa kujiuzulu
wenyewe ama wawajibishwe na Mh. Raisi mara
moja.
Akiyataja maeneo ya Miji midogo ambayo
CHADEMA imeshinda, Dr.
Slaa amesema:
“1. Nkasi – Namanyere
2. Hai – Bomang’ombe.
3.Karatu – Karatu.
4. Arumeru Mashariki – Usa river.
5.Vunjo – Ukawa.
6. Mbeya vijijini – Mbalizi.
7. Mbozi Maghari – Tunduma.
8. Mbozi Mashariki – Mlowo.
9. Kyela – Kyela.
10. Lupa – Makongorosi.
11. Busanda – Katoro.
12. Geita – Geita.
13. Chato – Chato.
14. Kwimba – Ngudu.
15. Karagwe – Kayanga.
16. Bukombe – Ushirombo.
17. Sengerema – Sengerema.
18. Tarime – Tarime.
19. Tarime – Sirari mji mdogo.
20. Rorya – Shirati ( 7/2).
21. Bunda – Bunda.
22. Serengeti – Mugumu 10/10 ( CUF 3).
23. Kahama – Kahama.
24. Bariadi – Bariadi ( 49/43).
25. Kilombero – Ifakara.
26. Magu – Magu.
27. Mbozi – Vwawa.
Sehemu zote hizo CCM ndio chama cha upinzani.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment