Kiongozi wa mashtaka nchini Misri auawa-BBC


Hisham Barakat afariki

Kiongozi wa mashtaka nchini Misri Hisham Barakat ameuawa kutokana na majeraha aliopata baada ya bomu kulipua gari lake mjini Cairo.

Msafara wa Bwana Barakat ulishambuliwa ulipokuwa ukipitia katika wilaya ya Heliopolis.

Nguvu za shambulio hilo ziliharibu baadhi ya nyumba na maduka.Walinzi wawili wa bwana Barakat pia walijeruhiwa.Bomu lalipua gari la Hisham Barakat

Bwana Barakat amekuwa akipendekeza mamia ya wapiganaji hao kufunguliwa mashtaka tangu kupinduliwa kwa rais aliyepinduliwa , Mohamed Morsi, mwaka 2013.

Kundi linalojiita Popular Restistance of Giza limekiri kutekeleza shambulizi hilo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment