Monday, June 29, 2015
Nkupamah blog
Zari the Bosslady amejikuta kwenye kitimoto kutokana na mashabiki kumshambulia mtandaoni kwa mavazi yake katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Mama huyo mtarajiwa wa mtoto wa Diamond amelazimika kutumia Kiswahili
kuwajibu wale wanaomshambulia kwa mavazi yake katika kipindi hiki
ambacho waislamu duniani kote wapo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa
Ramadhan.
“Mnikome, maisha yangu yanakuhusu nini wewe, na yako hayanihusu mimi kabisa ata kidogo,” ameandika Zari kwenye Instagram.
“Oh sijui high heels, mara nguo imembana, sijui anapikia heels,pili pili
hujakula wewe inaakuwashia nini? Mvae madera zenu mfunge mkanda mpite
kimya kimya. Kwanini unastress???? HAYA NI MAISHA YANGU,”ameongeza.
“Na sasa your all Gods’ judges now…. how many people do we know that
wear hijab but have very dirty ugly hearts? Huh? How many of you act so
straight for these 30 days but the last 11 months you’re the worst
monsters this world has ever seen. Now u wana come here and judge my
faith by the dress?”
“Allah bless all of you….atleast I ain’t acting snitchy, am being ME.
And oh, if you happen not to like what you see in ur news feed (my
page) U always have 3 options, Block yourself, unfollow ama fast forward
coz if your still following na you exercise your fingers kuwakya matusi
page yangu, babe your just an obsessed fan if not a confused admirer
dah majirani. Habari nakazi mnayo……like I always say, no bad vibes from
me. So stay blessed.”
Nkupamah blog
0 comments :
Post a Comment