Monday, June 29, 2015
Nkupamah blog
Mwanamuziki nchini Tanzania, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushambuliwa na mashabiki wake katika mtandao wa kijamii muda mfupi baada ya kuweka picha ya tangazo la video mpya ya Ali Kiba, kuonyeshwa TRACE TV June 28 2015 kwa kile walichodai kuwa anamsaliti rafiki yake mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’
0 comments :
Post a Comment