OWM YAPATA KOMBE KATIKA MAONYESHO YA UTUMISHI WA UMMA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi Kombe la ushindi Mchumi Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Maendeleo ya Sekta Binafsi, Uwekezaji na
Uwezeshaji Bw. Girson Ntimba baada ya Ofisi hiyo kuibuka mshindi wa kwanza katika Uratibu na Usimamizi Bora wa masuala ya Ukimwi wakati wa kilele cha Wiki ya Utumishi wa Umma tarehe 23 Juni, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifurahia kombe la Ushindi baada ya kuibuka mshindi bora katika masuala ya menejimenti ya Ukimwi wakati wa kilele cha Wiki ya Utumishi wa Umma tarehe 23 Juni, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment