Arsenal kumsajili kipa wa Chelsea

Kipa wa Chelsea Petr Cech
Arsenal wanakaribia kuweka makubaliano ya kumsajili kipa wa
Chelsea Petr Cech.
Mazungumzo kati ya vilabu hivyo viwili yanaendelea huku kipa huyo akitarajiwa kuwa mchezaji wa kwanza atakayesajiliwa na Arsenal msimu ujao.
Raia huyo wa Cech aliichezea Chelsea mechi 16 msimu uliopita na amekuwa katika uwanja wa Stanford Bridge kwa takriban miaka 11.
Ameichezea Chelsea mara 300 na kushinda mataji 4 ya ligi,4 ya kombe la FA,mataji 3 ya kombe la ligi ,taji moja la vilabu bingwa Ulaya na taji moja la kombe la Yuropa.CHANZO:BBC (Muro)

Tuma Maoni

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment