- Written by Nkupamah Blog
Mwakilishi
kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.
Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na
washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza
kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini
ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar
es Salaam kwa siku mbili mfululizo.
Mwakilishi
wa UNICEF Tanzania, Dk. Jama Gulaid, akizungumza na washiriki wa
Mkutano unaojadili
mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha
huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka
mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam
kwa siku mbili mfululizo.
Ofisa Mwakilishi Makao Makuu ya Haki za Binadamu duniani, Dk. Jyoti Sanghera.
Baadhi ya
washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza
kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini
ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar
es Salaam kwa siku mbili mfululizo.
Baadhi ya
washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza
kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini
ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar
es Salaam kwa siku mbili mfululizo.
Baadhi ya
washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza
kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini
ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar
es Salaam kwa siku mbili mfululizo.
Ofisa
Mwakilishi Kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini
akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za
binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza
vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo
unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.
Ofisa
Mwakilishi wa Shirika la Afya Ulimwenguni nchini (WHO), Dk. Rufaro
Chatora akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki
za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza
vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo
unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.
Baadhi ya
washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza
kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini
ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar
es Salaam kwa siku mbili mfululizo.
Baadhi ya
washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza
kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini
ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar
es Salaam kwa siku mbili mfululizo.
Ofisa mwakilishi kutoka Umoja wa Mataifa (UN), Dainius Puras akizungumza kwenye mkutano huo.
Mmoja wa
waratibu wa mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza
kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini
ya miaka mitano (5) nchini Tanzania akitoa mwongozo wa majadiliano.
Ofisa
Habari wa Kituo cha Taarifa cha Umoja wa Mataifa (UN), Stella Vuzo
akizungumza katika mkutano na vyombo vya habari vilipozungumza na
viongozi wawakilishi walioshiriki katika mkutano huo.,
Ofisa
Mwakilishi Makao Makuu ya Haki za Binadamu duniani, Dk. Jyoti Sanghera
(wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
kufungua mkutano wa majadiliano. Wengine ni waofisa mbalimbali
walioshiriki mkutano huo wa majadiliano.
Mwakilishi
kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.
Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na
waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa majadiliano. Akiwa
na Maofisa wawakilishi kutoka taasisi anuai za kimataifa zilizoshiriki
majadiliano hayo.
TANZANIA
inajivunia mafanikio makubwa ya kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito
pamoja na idadi ya watoto chini ya miaka mitano wanaopoteza maisha kila
mwaka. Mafanikio hayo yameifanya Tanzania kutolewa mifano kimataifa
ikiwa ni kati ya nchi zilizovuka malengo ya kupunguza idadi hiyo vifo
iliyojiwekea kuzifikia.
Kauli
hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk
Donan Mmbando katika hotuba yake iliyosomwa na mwakilishi wake akifungua
mkutano wa majadiliano na wadau mbalimbali wa utetezi wa haki za
binadamu unaokutana kuangalia namna ya kupunza idadi ya vifo
vinavyotokana na uzazi na vile vya watoto chini ya miaka mitano.
Majadiliano
hayo yanayofanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili huku yakijikita
kuangalia namna wadau wa haki za binadamu wanavyoweza kuchangia katika
kuboresha huduma za afya na hatimaye kumlinda mtoto chini ya miaka
mitano na vifo kwa ujumla.
Dk.
Mmbando alisema Tanzania imefanikiwa kupunguza vifo vya uzazi na watoto,
kutoka idadi ya vifo 166 vilivyokuwa vikitokea kwa kila akinamama 1,000
wanaojifungua mwaka 1990 na kupungua hadi kufikia idadi ya vifo 54 kwa
kila akinamama 1,000 mwaka 2012.
Alisema
mafanikio hayo ni makubwa kwani yalivuka malengo iliyokuwa imejiwekea,
huku nchi ikitolewa mfano kati ya mataifa yaliyofanikiwa kiasi kikubwa
kupungu vifo vya kesi za uzazi na huduma za afya kwa ujumla.
Aidha pamoja na hayo alisema bado kuna changamoto mbalimbali za upatikanaji wa huduma za afya kutoka eneo moja hadi lingine, hasa maeneo ya vijijini jambo ambalo Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali inakabiliana na changamoto hizo.

Alizishukuru
taasisi za Umoja wa Mataifa (UN) kwa msaada zinazoutoa kupitia taasisi
zake mbalimbali kuisaidia Serikali ya Tanzania kuboresha huduma za afya
katika nyanja tofauti, jambo ambalo ndio chachu ya mafanikio zaidi.
Awali akizungumza katika ufunguzi wa mkutano huo, Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dk. Jama Gulaid, aliipongeza Tanzania kwa mafanikio makubwa iliyoyapata katika kupunguza vifo vya uzazi pamoja na watoto chini ya miaka mitano na pia kuwalinda watoto katika kupata huduma bora za afya.

Aliongeza
kuwa mafanikio hayo yanatokana na uongozi mzuri wa Serikali pamoja na
nia thabiti ya viongozi kutambua tatizo na utayari wa kulisimamia
kuhakikisha linapata ufumbuzi, lakini pia usalama wa raia na shughuli
zao.
“…Napenda
nitumie nafasi hii kuwasilisha shukrani na dhati kutoka UNICEF kwa
Wananchi wote wa Tanzania kwa kuendelea kulinda haki za watoto,
nawapongeza kinamama, nawapongeza kinababa na viongozi kwa ujumla kwa
kulilinda hili…kimsingi tunaitaji mchango wenu kufanikiwa zaidi,”
alisema Dk. Gulaid akiwahutubia washiriki wa mkutano huo.
Mkutano
huo wa siku mbili unashirikisha wajumbe na wawakilishi kutoka taasisi za
kimataifa na kitaifa zinazoshughulikia masuala ya haki za binadamu,
afya na watoto umeandaliwa na Tume ya Kimataifa ya Haki za Binadamu na
Utawala Bora kwa kushirikiana na Taasisi za Umoja wa Mataifa.
0 comments :
Post a Comment