- Written by Nkupamah blog

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya
CRDB, Tully Mwambapa akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi
hundi ya Shilingi milioni 12 kwa ajili maandalizi ya Futari
iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Madhehebu ya Dini. Kulia
ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum wakionyesha hundi ya shilingi milioni 12 kwa ajili ya maandalizi ya futari iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya viongozi wa Madhehebu ya dini itakayofanyika Ijumaa Julai 3 kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum akitoa shukrani zake baada ya kupokea hundi ya sh. milioni 12 kutoka benki ya CRDB.(VICTOR)
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika hafla hiyo.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mbalali, Chibby Chibby akiwa naSheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum.
Meneja wa
Benki ya CRDB tawi la Mbalali, Chibby Chibby akibadilishana mawazo na
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum.

Picha ya pamoja.


0 comments :
Post a Comment