Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi mpya wa Japan katika Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Masahau Yoshinda alipofika Ikulu Mjini Unguja leo
kujitambulisha kwa Rais

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na na Balozi mpya wa Japan katika Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Masahau Yoshinda alipofika Ikulu Mjini Unguja leo
kujitambulisha kwa Rais.[Picha na Ikulu.]
0 comments :
Post a Comment