Dr. Wilibrod Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. John
Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za
Serikali kwa bei ya kutupwa
Dr. Slaa akihojiwa na Radio five ya Arusha jioni hii nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuli kuwania Urais.
Ameongelea mengi lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania
wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamtia Magufuri ndani ili
kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa.
Chanzo: Radio five, Arusha



0 comments :
Post a Comment