GULIO LA MAGARI ‘AUTOMART’ LAZINDULIWA JIJINI DAR

  • Written @nkupamah blo

Mkurugenzi wa Vision Investments, Ally Nchahaga (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijijini Dar es Salaam Julai 26.2015, wakati wa uzinduzi wa Gulio la Magari lijulikanalo kama
‘Automart’ litakalofanyika kila Jumapili ya mwisho wa mwezi na kuwakutanisha  wauzaji na wanunuzi wa katika viwanja vya maegesho ya magari vya Hoteli ya Sea Cliff Masaki jijini.  Kushoto ni Meneja masoko wa Mtandao wa kuuza magari wa Cheki.co.tz, Mori Bencus na Mkurugenzi wa kampuni ya Auto Sport Repairs, Sikandar Merali. PICHA ZOTE NA JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOG.(P.T)


Meneja Masoko wa Mtandao wa kuuza magari wa Cheki.co.tz, Mori Bencus (kushoto), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijijini Dar es Salaam Julai 26.2015, wakati wa uzinduzi wa Gulio la Magari lijulikanalo kama ‘Automart’ litakalofanyika kila Jumapili ya mwisho wa mwezi na kuwakutanisha  wauzaji na wanunuzi wa katika viwanja vya maegesho ya magari vya Hoteli ya Sea Cliff Masaki jijini.  Katikati ni Mkurugenzi wa Vision Investments, Ally Nchahaga na Mkurugenzi wa kampuni ya Auto Sport Repairs, Sikandar Merali.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment