Idd Azan (mbele) akisalimiana na baadhi ya wanavikundi vya jogging.
.Idd Azan (kulia) akimsalimia muandaaji wa bonanza hilo, Aba Pelham.
Idd Azan (kulia) akimsalimia muandaaji wa bonanza hilo, Aba Pelham.(P.T)
4..Picha ya pamoja ya wana-jogging wakiwa na Idd Azan.
Klabu za Joging zikiendelea kupiga picha na Idd Azan
Klabu nyingine ya jogging ikiwa katika picha ya pamoja na Idd Azan.
Iddi Azan akiwa amemshikilia kuku baada ya kuibuka mshindi.
Baadhi ya wanajoging wakimpongeza Iddi Azan mara baada ya kumkamata kuku huyo.
Wanajoging wakishindana kunywa soda.
Wanamama wakishindana kukimbia kwa kutumia magunia. 
Wanajogging wakishindana kuvuta kamba
Iddi Azan akiwa golini akidaka mpira kama ishara ya kufungua mashindano ya mchezo.
MBUNGE wa
Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idd Azan, anatarajiwa kuwa
mlezi wa Klabu ya Jogging ijulikanayo kwa jina la Kijitonyama Fitness
Club.
Hayo
yamesemwa na yeye mwenyewe alipokuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa
klabu hiyo uliofanyika katika Viwanja vya Masjid Qubah Kijitonyama, Dar,
hivi karibuni.
Katika
uzinduzi huo ulioandaliwa na Jamii Sports Bonanza, kulihudhuriwa na
vikundi vya jogging zaidi ya nane (8) kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji
la Dar es Salaam ambapo muandaaji wa bonanza hilo alikuwa Aba Pelham.
Baadhi ya
michezo iliyoshirikishwa siku hiyo ilikuwa ni kuvuta kamba, kukimbiza
kuku, kukimbia kwenye magunia huku pia mgeni rasmi huyo akishiriki
vilivyo katika mchezo wa mpi
NA DENIS MTIMA/GPL
0 comments :
Post a Comment